Karibu Katika Kazi au Biashara

Pamoja Na Mfumo Wa Karne Ya 21!

Kuna Aina Nne Za Kipato Duniani

Kuajiriwa & Kujiajiri

Hii ni aina ya kipato kisichokidhi mahitaji, ambapo unafanya kazi kubwa lakini unapata kipato kidogo.

Kujiajiri kunakozungumziwa hapa ni biashara ndogo.

Uwekezaji & Biashara Kubwa

Hiki ni kipato endelevu kinachokupatia uhuru wa muda na kipato

Huu Ndo Ukweli Kuhusu Maisha:


Asilimia 95 ya watu duniani ni walioajiriwa au kujiajiri, lakini asilimia 5 tu ndo inayomiliki biashara kubwa na uwekezaji hivyo kutawala uchumi.

Kwa mfano, mwekezaji au mwenye biashara kubwa ambaye ana wafanyakazi 100.

Kila mmoja akitumia saa 8 kwa siku kufanya kazi basi mtu huyo atakuwa akifanya kazi kwa siku:

Saa 8 x 100 = Saa 800.


Ni wazi mtu wa aina hiyo atafanikiwa na kuwa Tajiri

Ni vigumu kufanikisha uhuru wa kipato ikiwa unategemea nguvu zako pekee kufanya kazi.

Hii ndiyo changamoto kubwa kwa walioajiriwa na waliojiajiri.

Wanakuwa na saa 8 au 10 tu kwa siku za kufanya kazi.

Utatoboaje kwa muda huo pekee?

Hebu Tafakari Swali Hili:

Ikitokea kwa sababu yoyote ile ushindwe kufanya kazi unayoifanya au biashara unayoifanya sasa

kwa mwaka mmoja mfululizo utaweza kupata chakula, malazi na matibabu?

Kama Jibu Ni Hapana:

Basi unatakiwa uwe na shughuli nyingine ya ziada itakayokuhakikishia kipato ambacho ni endelevu

Soma ukurasa huu mwanzo hadi mwisho uifahamu vyema shughuli ambayo itakupatia kipato endelevu

Hata pale utakaposhindwa kufanya kazi ya ajira au biashara yako kwa mwaka mzima mfululizo.

Shughuli itakayokuwezesha kuwekeza mtaji mdogo na baada ya mwaka mmoja tu utatoboa

Shughuli Hii Inaitwa:

Biashara ya Mtandao!

Biashara ya Mtandao,

Kwa kimombo

MLM

(Multi-Level Marketing)

Ni mfumo wa biashara unaokuwezesha kuwekeza mtaji mdogo na baada ya mwaka mmoja kuwa na maisha bora.

Hivi ndivyo biashara ya mtandao inavyofanya kazi:

Wanachama, au "wagavi," huuza bidhaa au huduma moja kwa moja kwa wateja, kama virutubisho lishe au vipodozi.

Wanapata kipato kutokana na mauzo yao na pia kutokana na mauzo ya watu waliosajiliwa kwenye mtandao wao wanaoitwa "downline"

Biashara Hii Ina faida Zifuatazo:

1. Kuanzisha biashara kwa mtaji mdogo.

2. Uwezo wa kufanya kazi kwa muda unaokufaa.

Wanachama hunufaika moja kwa moja kutokana na juhudi zao na za timu zao, na hii ndiyo siri ya kipato kikubwa katika biashara ya mtandao.

Mtandao huu huchangia kiasi kidogo kutoka kwa kila mwanachama, na kwa sababu idadi yao ni kubwa, jumla ya kipato inakuwa kubwa.

Biashara ya Kawaida hutumia matangazo kama ya runinga, redio, au mabango na wasanii maarufu.

Inasadikika kuwa makampuni hayo hutumia asilimia zaidi ya 60 ya faida yao kufanya matangazo hayo

Kampuni ya biashara ya mtandao hurejesha pesa hizi kwa wanachama, kwani wao ndio wanaofanya matangazo na usambazaji moja kwa moja badala ya kutegemea matangazo kama ya runinga, redio, au mabango na wasanii maarufu.

Sasa naipendekeza Kwako Kampuni ya Biashara ya Mtandao:

Kampuni Hii Ni:

BF SUMA

BF SUMA ni kampuni inayojulikana kimataifa ambayo imekuwa ikifanya shughuli zake kwa miaka mingi:

Ilianzishwa China mwaka 1993.

Ikahamia Los Angeles, Marekani mwaka 2006.

Iliingia Afrika kama kampuni ya biashara ya mtandao mwaka 2010.

Nchi Ambazo BF SUMA Ipo Ni:
Tanzania, Kenya, Uganda, Zambia, Afrika Kusini, Namibia, Botswana, Lesotho, Eswatini, Zimbabwe, Nigeria, Benin, na Cameroon.

BF SUMA
Ni chaguo bora kwa wale wanaotaka kuanza biashara ya mtandao na kufanikiwa kwa kuwekeza mtaji mdogo tu.

Zifuatazo Ni Baadhi Ya Bidhaa Ambazo BF SUMA Inazitengeneza:

Bidhaa za BF SUMA

Zina Ubora wa Hali ya Juu

Kwa sababu ya ubora wa bidhaa za BF SUMA:


Wateja wataridhika na matokeo ya bidhaa zako.


Utapata mrejesho chanya toka kwa wateja na hivyo utakuwa na amani moyoni.

Kujiunga na BF SUMA

Gharama ya usajili ni Tsh. 150,000/=,

Inayolipwa moja kwa moja kwenye duka la BF SUMA kwa msaada wa mwongozo kutoka kwangu.

Malipo Yatakavyotumika:

Tsh. 56,000: Kwa ajili ya gharama ya mfumo wa biashara, ikiwemo:

Badge ya Cheo unachopewa.

Kitabu cha Bidhaa na Mpango wa Masoko (Marketing Plan).

Tsh. 94,000: Unachagua bidhaa za BF SUMA kwa thamani hiyo.

Kwa nchi nyingine utathaminisha gharama hiyo ukilinganisha thamani ya fedha ya nchi yako na thamani ya fedha ya Tanzania:

Kama Hakuna Duka la BF SUMA Kwenye Eneo Lako:


Tutashirikiana kutafuta njia mbadala ya kukamilisha usajili wako.

Bidhaa utakazochukua wakati wa kujiunga Unaweza kuzitumia binafsi au kuuza kwa rejareja.

Utanunua kwa bei ya mwanachama utauza kwa bei ya faida kati ya asilimia 20-50

Mwisho wa mwezi wa biashara utapata tena kamisheni kwa bidhaa ulizonunua kutoka BF SUMA

Kama hiyo haitoshi utapata bonasi ya timu yako yote kutokana na manunuzi yao ya bidhaa

Unaweza Kuwa Na Hofu Zifuatazo:

1. Hofu Ya Kudanganywa

BF SUMA siyo biashara ya Upatu;

BF SUMA ni Kampuni Halali:
Kampuni hii imesajiliwa na taasisi za serikali katika nchi zote ambazo inafanya kazi ambazo zimetajwa hapo juu.

Mfano:

Tanzania:

Imesajiliwa na:

BRELA, TBS, na TMDA.

Imesajiliwa na Mamlaka za Kimataifa na Kitaifa Kama Inavyoonekana Hapa Chini

2. Hofu ya Changamoto za Mauzo

Si kila mtu ana ujuzi au ujasiri wa kuuza bidhaa moja kwa moja kwa marafiki, familia, au watu wasiowafahamu.

Hofu ya kukataliwa mara nyingi inaweza kukuzuia kujiunga na biashara hii.

Tumekuandalia mfumo wa mauzo utakaofanya kazi ya kuwaelezea wateja bidhaa zetu na magonjwa mbalimbali kwa niaba yako

3. Changamoto ya Kujenga Mtandao

Siri ya mafanikio katika biashara ya mtandao ni kujenga mtandao mkubwa wa wagavi.

Lakini, unaweza usiwe na ujuzi wa mawasiliano au uwezo wa kushawishi wengine kujiunga na biashara hii.

Tumekuandalia mfumo utakaofanya kazi ya kuwaelezea watu biashara kwa niaba yako

4. Hofu Ya Mapato Yasiyo Uhakika

Waliofanikiwa walifuata mbinu sahihi, walikuwa na nidhamu, na hawakukata tamaa.

Mfumo tulioutengeneza utakusidia kuwaelezea wateja kuhusu bidhaa zetu ivo utaongeza manunuzi ya bidhaa bila kutumia nguvu nyingi.

Mfumo wetu umetengenezwa kwa ajili ya watu wa kila aina,

Iwe Unahitaji:

Uhuru wa muda na kipato.

Kipato cha ziada.

Maandalizi ya maisha ya baadaye wakati hutaweza kufanya kazi tena.

Basi mfumo huu ni kwa ajili yako.

Mfumo Huu Ni Bora Kwa:

Wafanyakazi wa sekta zote.

Wanafunzi wanaotafuta kipato cha ziada na kupata fedha ya kusoma elimu ya juu zaidi.

Wakulima, mafundi, wavuvi, na wafugaji.

Mama wa nyumbani na wastaafu.

Wanasiasa, wanamichezo, na wafanyabiashara wa aina zote.

Kinachohitajika Kwako Ni:

Simu Janja au Kompyuta.

Hizi ni Faida za Mfumo:

Una uwezo wa kufanya kazi saa 24 kwa siku.

Una uwezo wa kuhudumia watu wengi bila kikomo.

Utakuletea matokeo hata ukiwa umelala au unafanya shughuli zako zingine.

Mfumo Huu Unaitwa:

Automated Client Acquisition System

(ACAS)

Mfumo Wa Kiotomatiki Wa Kupata Wateja

ACAS ni mfumo wa kidigitali unaotumia teknolojia za kisasa kuvutia wateja kiotomatiki, kuongeza ufanisi, na kuokoa muda.

Hapa chini kuna mchoro unaoonyesha jinsi mfumo huu unavyofanya kazi

Kwa Lugha Rahisi:

Sehemu ya Mfumo huo ndo ambao unaendelea kuutumia.

Baada ya kupata maelezo ya awali ulikuja katika ukurasa huu kupitia link maalum.

Sasa hivi mfumo unaendelea kukufahamisha kuhusu biashara hii wakati mimi sipo naendelea na majukumu mengine.

Na si wewe peke yako unayesoma muda huu wapo wengi wanaendelea kusoma

Jambo ambalo mimi mwenyewe nisingeweza kufanya.

Mfumo huu ndo ambao utapewa

BURE

Ikiwa utajiunga na timu yetu

Wafuatao ni baadhi ya watu ambao wanatumia mfumo huu na kupata matokeo chanya.

Shuhuda

Ukijaza Fomu Ya Kuonyesha Nia:

Ya Kujiunga Na Timu Yetu Inayoitwa

BRIGHT TEAM

NDANI YA SAA 12

Utapata OFA zenye Thamani ya:

Tsh. 750,000/=

Ofa Ya Kwanza:

Utapewa Mfumo Huu Bure

Ingekuwa unanunua mfumo huu pamoja na maboresho yake

Ingekugharimu kiasi cha Tsh. 300,000/=

Ukijumlisha na Tsh. 150,000/=

Ya kujiunga BF SUMA

Ingekugharimu Tsh. 450,000/=

Lakini Utaupata Mfumo Huu Bure!

Gharama Utakayotoa Pekee Ni:

Tsh. 150,000/=

Kujiunga na BF SUMA

Ofa Ya Pili:

2. Kurasa Za Bidhaa Na Tiba

(Products & Treatment)

Ingekuwa unalipia ungegharimika Tsh. 150,000/= kuweza kupata kurasa hizi

Ukijumlisha 450,000 na 150,000 inakuwa Tsh 600,000/=

Lakini Sasa Bado Utatoa Tu.

Tsh. 150,000/=

Ya kujiunga na BF SUMA.

Kwa sababu ukurasa huu una maelezo ya kina kwa bidhaa zetu za BF SUMA pamoja na magonjwa mbalimbali ambayo itakurahisishia wewe usihangaike kuwaeleza wateja wako watarajiwa bali kurasa hizo zitafanya kazi kwa niaba yako.

Muonekano-Ukurasa-Bidhaa Na Tiba

Upewe nini zaidi uone thamani ya mfumo huu! Lakini kama haitoshi:

Ofa Nyingine Ni:

3. Kuunganishwa na Jumuiya Ya Wagavi Katika Timu Yetu

(Jumuiya Ya Bright Team)

Elimu yote ya namna utakavyofanya biashara hii itatolewa hapa. Kwa lugha rahisi hapa ndo patakuwa chuo cha kujifunza mbinu mbalimbali za biashara hii.

Lengo likiwa ni lile lile ili uweze kujifunza kwa wakati wako kiganjani.

Shule hii ingekugharimu Tsh. 150,000/=

Kufanya jumla ya:

600,000 + 150,000 = 750,000/=

Lakini bado utatoa Tu:

Tsh. 150,000/=

Ya kujiunga na BF SUMA.

Muonekano-Jumuiya-Bright Team

Picha iliyopo hapo juu ni Kipande Tu cha yaliyomo katika Jumuiya humo Utapata maelekezo yote ya biashara Hii.

Naamini Mpaka Sasa Utakuwa Umeelewa Na Uko Tayari Kuupata Mfumo Huu.

Bado Unataka Maelezo Zaidi?

BF SUMA ni biashara ya mtandao Huna haja ya kuwa na hofu kwamba umechelewa kuanza biashara!

Unaweza kufanikiwa kama wale waliokutangulia katika biashara

Hapa chini ni uthibitisho huo:

Katika kampuni ya BF SUMA, kila mtu ana nafasi ya kufanikiwa bila kujali alipoanzia.

Mafanikio ya Angelina .D. Asyukile na Evance .T. Mmasi hapo juu,

(waliozungushiwa visanduku)

ambao wamewapita walio kwenye ngazi za juu za uongozi kuliko wao,

yanaonyesha wazi kuwa mafanikio katika kampuni ya BF SUMA yanategemea juhudi na kujituma.

Top 10 ya BF SUMA hubadilika kila mwezi, ikithibitisha kuwa mafanikio hayahifadhiwi kwa watu wale wale.

Kila mtu ana nafasi ya kuingia kwenye 10 bora kwa kufanya kazi kwa bidii na maarifa.

Hapa Ni Mfano Wa Vipato BF SUMA

Unaweza kuanza na kipato kidogo, lakini kadiri timu yako inavyokua, kipato kitaongezeka.

Kupitia mfumo wa ACAS, juhudi na uvumilivu wa mwaka mmoja vinaweza kukupeleka kwenye mafanikio makubwa,

Hii ni fursa ya kubadilisha maisha yako na kufikia kipato cha juu.

Anza Sasa, Jenga Timu Yako, Ufanikiwe!

BF SUMA Kuna Kiinua Mgongo Ukifika Star 12 Kiitwacho Villa Fund

Villa Fund ni sawa na kiinua mgongo kinachotolewa serikalini,

lakini tofauti kubwa ni kwamba ukiwa BF SUMA utaweza kupata zaidi ya Tsh. milioni 500.

Pia kuna safari kila mwaka zinazotolewa kwa waliokidhi vigezo

Pia kuna Tuzo za magari kila mwaka zinazotolewa kwa waliokidhi vigezo

BF SUMA Haipo Tanzania Pekee. Video Ifuatayo Inathibitisha Hilo.

Mafanikio Ni Ya Hakika!

Biashara ya mtandao ni ya uhakika itakayokupa kipato endelevu utakachorithisha kwa familia.

Ukijenga timu kwa mwaka mmoja utafikia kipato kikubwa kitakachoendelea kukua kila mwezi.

Anza sasa biashara na BF SUMA ukitumia mfumo wa ACAS utakapojiunga na Timu yetu

P.S: Napenda kukukumbusha tu kwamba Usipo bonyeza kitufe kilichopo hapo chini ndani ya muda unaotembea hapo chini ili kujaza Fomu ya kuonesha nia ya kujiunga na BF SUMA katika Timu Yetu na kupata mfumo huu utakaokurahisishia kazi yako utapoteza Ofa zilizopo hapo juu.

Ni Vema Ujaze Fomu Sasa.

Kwa Nini Ucheleweshe Mafanikio Yako Wakati Una Uwezo Wa Kujaza Fomu Sasa!

Mr. Mwaipaja (+255 767 378 378) Dar es Salaam

This Site is Not Part of the FacebookTM, Website or FacebookTM Inc. Additionally,

This is NOT Endorsed by FacebookTM in Any Way FacebookTM is a Trademark of Facebook, Inc.